'Kuukomboa wakati'
Rakesh Rajani, Kiongozi wa Twaweza aliwasilisha msingi wa fikra za Twaweza katika mkutano wa Benki ya Dunia juu ya mageuzi ya uchumi wa kisiasa tarehe 21 mwezi Juni. Akitoa mifano kutoka katika uchambuzi wa hali uliopelekea uanzishwaji wa Twaweza pamoja na uzoefu wake toka katika ziara ya mafunzo ya Twaweza iliyofanyika mwaka 2009, Rakesh anawasilisha muono wa kina juu ya pengo kati ya ulimwengu wa aina mbili tofauti: ulimwengu wa maisha ya uhalisia, na ulimwengu wa watawala (Tabaka la wakwasi). Anaelezea kuwa michakato ya kimaendeleo imejivua mbali na ulimwengu wa uhalisia wa maisha. Anatoa mifano namna Twaweza inavyofanya kazi kujiingiza humu kwa bidii. Kusoma hii mada pakua hapa .
Endelea kusoma: maendelo Tanzania Rakesh Rajani
unaweza pia kupenda...
- Ushirikiano wa Serikali Zilizo Wazi Waanza Kazi Afrika Mashariki (25 Oct 2011)
- TEDxDar na mikinzamo ya maendeleo (8 Jun 2010)
- Zabuni za kuendesha taftishi wananchi kwa simu ya mkononi inatangazwa (20 Jan 2012)
- Nafasi mpya za kazi zinapatikana Tanzania, Kenya na Uganda! (21 Dec 2011)
- Wekeni bajeti wazi wa umma, Serikali zaambiwa (21 Nov 2011)
- Sasa ShujaazFM ipo YouTube (21 Nov 2011)
- Vyombo vya habari Afrika Mashariki vyaandika kuhusu Ushirikiano wa Serikali Zilizo Uwazi (13 Oct 2011)

