'Ni sisi' sasa hewani
Twaweza imezindua vipande vya matangazo ya Televisheni na Radio hapa Tanzania yakilenga kudhihirisha kwamba watu wanaweza kujiletea mabadiliko wao wenyewe. Mfululizo wa awamu ya kwanza ya matangazo, unaorushwa sasa katika StarTV na Radio Free Africa (RFA) unaonyesha matatizo ya kila siku watu wanayokumbana nayo hapa Tanzania. Baada ya wiki chache, awamu ya pili itaonyesha namna ya hatua watu walizoamua kuchukua. Kama unapenda kuyatazama, unaweza kuyapata hapa au kwa kutembelea ukurasa wa Twaweza katika You Tube.
Endelea kusoma: Kilimo cha pamba Machinga Ni sisi adverts RFA StarTV Wabunge Tanzania
unaweza pia kupenda...
- 'Ni sisi' sasa hewani (24 Jun 2010)
- Zabuni za kuendesha taftishi wananchi kwa simu ya mkononi inatangazwa (20 Jan 2012)
- Nafasi mpya za kazi zinapatikana Tanzania, Kenya na Uganda! (21 Dec 2011)
- Wekeni bajeti wazi wa umma, Serikali zaambiwa (21 Nov 2011)
- Sasa ShujaazFM ipo YouTube (21 Nov 2011)
- Ushirikiano wa Serikali Zilizo Wazi Waanza Kazi Afrika Mashariki (25 Oct 2011)
- Uwezo Tanzania 2011: Watoto wetu bado hawajifunzi (15 Sep 2011)

