Aibu ya shilingi 6 bilioni
15 Feb 2012
|
Katika vyombo vya habari
Tume iliyoundwa na serikali ya Uganda mwaka 2009 kuchunguza matumizi mabaya ya fedha kwenye sekta ya elimu yenyewe pia imevunjwa kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. Tume hiyo iliyokuwa na kazi ya kuchunguza ‘walimu na wanafunzi hewa’, ufanisi kwenye mfumo wa upelekeji ruzuku ya elimu, na mfuko wa fedha wa elimu ya msingi kwa wote (Universal Primary Education Fund). Matumizi ya shilingi 6 bilioni miaka mitatu baadae, Tume imeshindwa kutoa angalau taarifa moja, pamoja na kuwa na muda wa miezi sita kutoa taarifa baada ya uchunguzi. Soma zaidi.
Endelea kusoma: elimu Elimu Uganda meta sticky utawala Uwezo
Tafsiri
unaweza pia kupenda...
- "Tumieni Matokeo ya Uwezo Kuboresha Elimu Uganda" (15 Jul 2011)
- Changamoto za elimu nchini Uganda hazijapata majibu (14 Feb 2012)
- Simu za Mkononi Zinabadili Kazi za Maendeleo Barani Afrika (15 Jul 2011)
- Changieni mawazo mjadala wa elimu, Uwezo Kenya yasema (14 Feb 2012)
- Elimu kwa watoto ni muhimu kwa muskabali wa Uganda (21 Nov 2011)
- Mkuu wa Wilaya: wanafunzi 3000 hawajui kusoma Iringa (21 Nov 2011)
- Ripoti ya Uwezo 2011 yatoa mwangwi kwenye vyombo vya habari Afrika Mashariki (13 Oct 2011)

