Machapisho
Twaweza kupitia kituo chake cha habari,Uwazi inatoa machapisho mbalimbali kwa wananchi wa Afrika Mashariki na ulimwengu mzima ili waweze kujipatia taarifa za kuaminika na pasipo na gharama. Taarifa hizi ni mkusanyiko wa takwimu, ripoti, tafiti mbalimbaliza kisayansi na vielelezo vya sekta lengwa za Twaweza. Tutajitahidi kadiri iwezekanavyo kuzitoa katika lugha nyepesi . Tembelea kurasa hii kila wakati ujipatie mambo mapya.
Dar es Salaam wanachukuliaje utawala?
- Dar es Salaam wanachukuliaje utawala? |
909.83 KB - Wakazi wa Dar es Salaam hawaridhishwi na hali ya utoaji wa huduma, hawana imani na taasisi za umma na hawazielewi vizuri sera |
289.26 KB
Wakazi wa Dar wanasemaji kuhusu afya?
- Wakazi wa Dar wanasemaji kuhusu afya - Muhtasari |
727.49 KB - Mafanikio ya mda mfupi yamefikiwa katika huduma ya afya - Taarifa kwa umma |
216.31 KB
Uwezo Tanzania 2011: Watoto wetu bado hawajifunzi
Je Watoto Wetu Wanajifunza? Kuhesabu na Kusoma Katika Afrika Mashariki
Uwezo Yatoa Ripoti ya Afrika Mashariki





