Twaweza.org

Matangazo

Pata habari mpya mpya na matangazo mbalimbali hapa:

< iliyopita 123456
39 makala
Sort by: Maoni |

Tunatafuta kazi za sanaa: Mashindano ya Sanaa - Demokrasia na Sanaa

Twaweza kwa ushirikiano na Nafasi Art Space wanafuraha ya kukutangazia Mashindano ya Sanaa pamoja na Maonyesho yatakayo ambatana na majadiliano ya wazi ya demokrasia.

Wadau waitaka serikali kutekeleza Sheria ya Upatikanaji wa Taarifa

Jamii bora ni ile inayoendesha shughuli zake kwa uwazi, ushirikishwaji na uwajibikaji; na yenye mifumo ya kuwapatia wananchi taarifa kwa uharaka.

#ArudiShuleni

Kwa mujibu wa utafiti wa Sauti za Wananchi (2016) asilimia 71 ya watanzania wanasema wasichana wapewe fursa ya kurudi shuleni kuendelea na masomo baada ya kujifungua.

Iambie serikali unataka ikufanyie nini!

Tanzania ni moja kati ya nchi 63 zinazotekeleza Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (Open Government Partnership) Serikali iko katika mkakati wa kutafuta maoni juu ya Mpango Kazi huu wa awamu ya tatu.

Taarifa juu ya midahalo ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kumekuwepo juhudi za asasi za kiraia na vyombo vya habari kuandaa midahalo ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mdahalo wa Uchaguzi Mkikimkiki 2015 wazinduliwa

Twaweza inatangaza uzinduzi wa midahalo iitwayo Mkikimkiki 2015. Midahalo hii imeanzishwa ili kutoa fursa na jukwaa kwa vyama vya siasa kunadi sera zao kwa wananchi.

Sauti za Wananchi Uzinduzi | Kuelekea 2015

Wananchi watoa maoni yao na matakwa yao juu ya uongozi wa kisiasa nchini
< iliyopita 123456
39 makala
Sort by: Maoni |

zinazotumwa katika RSS

 

Tafsiri

wanaohusishwa