Tuboreshe viwango vya elimu ya msingi, si idadi
15 Jul 2011
|
Katika vyombo vya habari
The Guardian, la Tanzania, linaandika kuwa Serikali inapaswa kurudufu juhudi zake za kuboresha elimu ya msingi kupitia matokeo ya utafiti wa Uwezo wa Ufahamu na Hisabati Afrika Mashariki. Ikinukuu utafiti, makala inasisitiza kuwa, “wahitimu wengi wa shule za msingi Uganda, Kenya na Tanzania hawajui kusoma and hawawezi kufanya Hisabati zinazopaswa kufanywa na mwanafunzi wa darasa la pili.” Makala inatoa rai hakuna budi kutoa umuhimu unaostahili kwa kiwango cha elimu ya msingi kwa kuwa kwa watoto wengi wa Tanzania hiyo ndiyo elimu rasmi pekee watakayopata katika maisha yao.” Soma zaidi.
Endelea kusoma: agency elimu Afrika Mashariki meta sticky ripoti ya Uwezo Afrika Mashariki Uwezo vyombo vya habari Afrika Mashariki
unaweza pia kupenda...
- Ripoti ya Serikali ya Uganda Inaakisi ya Uwezo (15 Jul 2011)
- Ripoti mpya ya Uwezo yapiga mbiu Afrika Mashariki (15 Jul 2011)
- Aibu ya shilingi 6 bilioni (15 Feb 2012)
- Matumizi ya Kiswahili na Kiingereza: Hugawa Mabataka ya Jamii na Kudororesha Viwango vya Elimu (15 Jul 2011)
- Tanzania inahitaji Tume ya Rais ya Elimu (15 Jul 2011)
- "Tumieni Matokeo ya Uwezo Kuboresha Elimu Uganda" (15 Jul 2011)
- Je, polisi wa Tanzania wametekeleza mapendekezo ya Uwazi? (15 Jul 2011)

