Wabunge waongeaji Bungeni ndio hutetea viti vyao tena?
Uwazi iliyopo Twaweza imetoa muhtasari mpya wa sera unaoitwa, Nani amerudi? Utendaji katika bunge na uwezekano wa Wabunge kuchaguliwa mara nyingine. Muhtasari huu unaonesha kuwa Wabunge wa kawaida waliotetea viti vyao ni wale ambao walitoa michango mingi kuliko wenzao ambao hawakuchaguliwa tena mwaka 2010. Muhtasari huu umefanya uchambuzi wa taarifa zinazopatikana katika tovuti ya Bunge (www.bunge.go.tz). Soma muhtasari kamili hapa ufahamu vipengele sita kuhusu nini kinaongeza uwezekano wa mbunge kuchaguliwa.
Endelea kusoma: Twaweza.Uwazi Uwazi wabunge
Authors: Uwazi
Organizations: Uwazi
unaweza pia kupenda...
- Shule za msingi za Serikali Dar es Salaam:Vyoo vibovu, michezo kidogo. (2 Jun 2011)
- Shule za Msingi mkoani Dar es Salaam:Msongamano wa wanafunzi bila vitabu vya kiada vya kutosha (2 Jun 2011)
- Matokeo yakipuuzwa, ukaguzi wa nini? (24 May 2011)
- Dar es Salaam wanachukuliaje utawala? (19 Dec 2012)
- Je Watoto Wetu Wanajifunza? Kuhesabu na Kusoma Katika Afrika Mashariki (28 Jul 2011)
- Muhtasari sera wa Uwazi kuhusu wabunge watoa habari kuu kwenye magazeti (13 Apr 2011)
- Je, posho za polisi zilikatwa sababu ya ripoti ya Twaweza? (18 Mar 2011)

