Watoto 43,000 hatarini kufa kwa utapiamlo
Kituo cha habari cha Twaweza, Uwazi kinafunua athari za utapiamlo kwa jamii hapa Tanzania. Twakimu zinaonyesha kuwa Utapiamlo ni miongoni mwa changamoto kubwa inayoikabili Tanzania. Kati ka muongo (miaka 10) uliopita, zaidi ya watoto 600,000 wenye umri chini ya miaka 5 wanakisiwa kufa kwa kukosa lishe ya kutosha. Mwaka 2010 pekee, watoto wengine 43,000 watafariki mapema kutokana na utapiamlo. Hii ni sawa na wastani wa mtoto mmoja kufa kati ka kila dakika 12. Fungua hapo chini kwa taarifa kamili.
Endelea kusoma: policy forum sikika Twaweza utapiamlo Tanzania Uwazi
Authors: Policy Forum Sikika Uwazi
Organizations: Twaweza
pakua nyaraka
- Utapiamlo | 1.53 MB
unaweza pia kupenda...
- Boresho la "Je, wanafanya kazi kwa ajili yetu?" (24 Jun 2010)
- Je, wanafanya kazi kwa ajili yetu? (29 Apr 2010)
- ITV: Tanzania ni moja ya nchi 20 zinazoongoza kwa utapiamlo (17 Mar 2010)
- Watoto 43,000 hatarini kufa kwa utapiamlo (17 Mar 2010)
- Mwaka 2010 utapiamlo utasababisha vifo vya watoto 43,000 (17 Mar 2010)
- Shule za msingi za Serikali Dar es Salaam:Vyoo vibovu, michezo kidogo. (2 Jun 2011)
- Matokeo yakipuuzwa, ukaguzi wa nini? (24 May 2011)

