Kiongozi Asiyewajibika tufanyeje?
Ukizingatia uchaguzi ulioko mbele yetu, ungependa kiongozi wako awe na sifa gani? Namna gani ungependa madadiliko yatokee katika maisha yako binafsi, familia na marafiki? Upatikanaji wa huduma za jamii je? Unafahamu kiongozi unamchagua anapaswa awe mtumishi wa wananchi? Na baada ya uchaguzi, namna gani utaweza kufanya kuhakikisha anawajibika kwa wapiga kura wake? Kijitabu hiki kimeainisha mengi katika mambo haya. Kimeandaliwa kwa ushirikiano na mashirika ya dini hapa Tanzania. Kujisomea hadithi hii, bonyeza hapa.
Endelea kusoma: BAKWATA CCT Tanzania TEC uchaguzi Uongozi
pakua nyaraka
- Kiongozi Asiyewajibika |
1.1 MB
unaweza pia kupenda...
- Shule za Sekondari Tanzania: Wanafunzi wengi, fedha kidogo (28 Oct 2010)
- Wananchi wote ni wasimamizi wa Uchaguzi (27 Oct 2010)
- Je, watoto wetu wanajifunza? (22 Sep 2010)
- Mpango wa KiuFunza - Kiu ya Kujifunza - Wazinduliwa (2 Feb 2013)
- Dar es Salaam wanachukuliaje utawala? (19 Dec 2012)
- Wakazi wa Dar wanasemaji kuhusu afya? (18 Sep 2012)
- Ushirikiano wa Serikali Zilizo Wazi Waanza Kazi Afrika Mashariki (25 Oct 2011)

