Nafasi mpya za kazi zinapatikana Tanzania, Kenya na Uganda!

Twaweza inakua! Bofya kwenye tovuti yetu: Je unapenda kile tunachoamini na kile tunachofanyia kazi? Je una shauku na mshawasha wa kujifunza? Je wewe ni mbunifu, unajaribu mambo mapya kwa uangalifu na una kawaida ya kutekeleza mambo? Ungependa kushiriki kuleta mabadiliko Afrika Mashariki? Basi, unafanana nasi! Tazama ukurasa wetu wa nafasi za kazi (kwa Kiingereza).
Endelea kusoma: nafasi za kazi nafasi za kazi Kenya nafasi za kazi Tanzania nafasi za kazi Twaweza nafasi za kazi Uganda
pakua nyaraka
- Job Description |
29.5 KB
unaweza pia kupenda...
- Zabuni za kuendesha taftishi wananchi kwa simu ya mkononi inatangazwa (20 Jan 2012)
- Wekeni bajeti wazi wa umma, Serikali zaambiwa (21 Nov 2011)
- Sasa ShujaazFM ipo YouTube (21 Nov 2011)
- Ushirikiano wa Serikali Zilizo Wazi Waanza Kazi Afrika Mashariki (25 Oct 2011)
- Wananchi Wazungumza kuhusu Matokeo ya Kidato cha Nne (14 May 2013)
- Sauti za Wananchi (14 Feb 2013)
- Mpango wa KiuFunza - Kiu ya Kujifunza - Wazinduliwa (2 Feb 2013)

