Mpya
Je, sera inafanyiwa kazi? Simulizi toka vijiji 9
Mtiririko wa mwasilisho huu ulitolewa kwenye Mjadala wa Asubuhi wa Policy Forum Desemba 2009. Unajumuisha uzoefu wa ziara yetu ya vijijini, na hutoa simulizi rahisi kuhusu matatizo tata ya kimaendeleo, kwa kuwaonyesha uso kwa uso watazamaji uhalisia wa hali ilivyo katika vijiji vya ndani kabisa ya Tanzania.
Endelea kusoma: kujifunza policy forum ziara za mafunzo
unaweza pia kupenda...
- Misamaha ya Kodi Tanzania (28 Oct 2010)
- Shule za Sekondari Tanzania: Wanafunzi wengi, fedha kidogo (28 Oct 2010)
- Ruzuku ya wanafunzi kwa ajili ya Elimu: Ni lini italeta mabadiliko? (28 Oct 2010)
- Je, watoto wetu wanajifunza? (22 Sep 2010)
- Watoto 43,000 hatarini kufa kwa utapiamlo (22 Apr 2010)
- Wananachi watakiwa kufuatilia pesa za shule za sekondari (2 Feb 2011)
- Kipeperushi-Je Watoto wetu wanajifunza? (1 Nov 2010)