Mpya
Uwezo Tanzania yazindua ripoti yake
Uwezo Tanzania imezindua utafiti wake iliyoufanya kutathimini ‘Uwezo wa watoto kusoma na kuhesabu Tanzania 2010’ tarehe 21 Septemba, 2010. Ripoti hii iliyopewa jina ’Je, watoto wetu wanajifunza?’ iliwasilishwa katika katika hafla fupi iliyofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempnski jijini Dar es salaam. Ili kusoma ripoti kamili bonyeza hapa.
Endelea kusoma: Tanzania TenMet Twaweza Uwezo
Kuhusu mtunzi
unaweza pia kupenda...
- Wanafunzi wengi hawajui kusoma, kuandika-Utafiti (23 Sep 2010)
- Kipeperushi-Je Watoto wetu wanajifunza? (1 Nov 2010)
- Wahitimu darasa la saba hawajui kusoma hadithi (25 Sep 2010)
- Wahitimu darasa la 7 hawajui kusoma (25 Sep 2010)
- Utafiti: Hatima ya elimu yetu hatarini (25 Sep 2010)
- Ushirikiano wa Serikali Zilizo Wazi Waanza Kazi Afrika Mashariki (25 Oct 2011)
- Uwezo Tanzania 2011: Watoto wetu bado hawajifunzi (15 Sep 2011)