Twaweza.org

'Kuukomboa wakati'

Rakesh Rajani, Kiongozi wa Twaweza aliwasilisha msingi wa fikra  za Twaweza katika mkutano wa Benki ya Dunia juu ya mageuzi ya uchumi wa kisiasa tarehe 21 mwezi Juni. Akitoa mifano kutoka katika uchambuzi wa hali uliopelekea uanzishwaji wa Twaweza pamoja na uzoefu wake toka katika ziara ya mafunzo ya Twaweza iliyofanyika mwaka 2009, Rakesh anawasilisha muono wa kina juu ya pengo kati ya ulimwengu wa aina mbili tofauti: ulimwengu wa maisha ya uhalisia, na ulimwengu wa watawala (Tabaka la wakwasi). Anaelezea kuwa michakato ya kimaendeleo imejivua mbali na ulimwengu wa uhalisia wa maisha. Anatoa mifano namna Twaweza inavyofanya kazi kujiingiza humu kwa bidii. Kusoma hii mada pakua hapa .

Endelea kusoma: maendelo Tanzania

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri