Twaweza.org

'Ni sisi' sasa hewani

Twaweza imezindua vipande vya matangazo ya Televisheni na Radio hapa Tanzania yakilenga kudhihirisha kwamba watu wanaweza kujiletea mabadiliko wao wenyewe. Mfululizo wa awamu ya kwanza ya matangazo, unaorushwa  sasa katika StarTV na Radio Free Africa (RFA) unaonyesha matatizo ya kila siku watu wanayokumbana nayo hapa Tanzania. Baada ya wiki chache, awamu ya pili itaonyesha  namna ya hatua watu walizoamua  kuchukua. Kama unapenda kuyatazama, unaweza kuyapata hapa au kwa kutembelea ukurasa wa Twaweza  katika You Tube.

Endelea kusoma: Kilimo cha pamba

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri