Twaweza.org

"Tumieni Matokeo ya Uwezo Kuboresha Elimu Uganda"

Kwenye maoni ya uchambuzi mwandishi safu kwenye gazeti la Daily Monitor la Uganda analikosoa Bunge la Uganda, hasa Kamati ya Wabunge wa Chama Tawala, for kukubali uhuru wao kuvamiwa na Serikali na kupigia kura kila ambacho Serikali inapendekeza. Kisha mwandishi anapendekeza Bunge lijikite kwenye mambo yasiyo na migogoro kujenda heshima yake kwa umma kama mhimili huru wa dola. Kwa mfano, anapendekeza, Bunge la Uganda liangalie namna gani Serikali inaweza kuboresha Mpango wa Elimu ya Msingi na Sekondari kwa Wote kwa kutumia matokeo ya hivi karibuni ya Uwezo. Soma zaidi.

Endelea kusoma: elimu

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri