Twaweza.org

Aibu ya shilingi 6 bilioni

Tume iliyoundwa na serikali ya Uganda mwaka 2009 kuchunguza matumizi mabaya ya fedha kwenye sekta ya elimu yenyewe pia imevunjwa kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. Tume hiyo iliyokuwa na kazi ya kuchunguza ‘walimu na wanafunzi hewa’, ufanisi kwenye mfumo wa upelekeji ruzuku ya elimu, na mfuko wa fedha wa elimu ya msingi kwa wote  (Universal Primary Education Fund). Matumizi ya shilingi 6 bilioni miaka mitatu baadae, Tume imeshindwa kutoa angalau taarifa moja, pamoja na kuwa na muda wa miezi sita kutoa taarifa baada ya uchunguzi. Soma zaidi.

Endelea kusoma: elimu

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri