Twaweza.org

Sauti Za Wananchi | Siyo kwa kiasi hicho?

Sauti za Wananchi inazindua takwimu mpya kabisa zenye uwakilishi wa kitaifa kuhusu maoni ya watanzania juu ya upatikanaji wa taarifa na mijadala.

Wageni waalikwa: 

Wakili Jebra Kambole | Litigation of Law Guards Advocates
Dr Hassan Abbas | Habari Maelezo
Dr Vicensia Shule | University of Dar es salaam

Tarehe: Alhamisi 29 March 2018

Muda: 11.00 asubuhi – 1.00 mchana

Lugha: Kiswahili

Mahali: Makumbusho ya Taifa, mkabala na IFM 

Utafiti Sauti za Wananchi ambao huratibiwa na taasisi ya Twaweza, ni utafiti wenye uwakilishi wa kitaifa unaotumia simu za mikononi. Utafiti huu hutoa takwimu za kisayansi zinazoaminika juu ya maoni ya wananchi kuhusu mambo yanayotokea katika jamii zao.

Kwa habari zaidi soma hapa

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri