Twaweza.org

Maelezo mafupi kuhusu barua kutoka Costech kwa Twaweza

Imeboreshwa 13 Julai, 2018: Barua yoyote inayofika Twaweza inagongwa muhuri wa kupokelewa rasmi. Kwa hiyo barua inayosambaa mitandaoni hatuitambui kwa sababu haina muhuri wetu wa kuipokea.
 
Kama tulivyosema hapo awali, barua tumeipokea na tunaifanyia kazi. Twaweza haijasambaza, na haihusiki na usambazaji wa barua hiyo kwenye mitandao ya kijamii.
 
Barua yoyote inayofika Twaweza inagongwa muhuri wa kupokelewa rasmi. Kwa hiyo barua inayosambaa mitandaoni hatuitambui kwa sababu haina muhuri wetu wa kuipokea.
 
Tunayaheshimu sana mawasiliano yetu na washirika wetu.
 
Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri