Changamoto za elimu nchini Uganda hazijapata majibu
14 Feb 2012
hot
|
Katika vyombo vya habari
Mnamo mwaka 2007 Serikali ya Uganda iliwekeza sana katika sekta ya elimu: zaidi ya madarasa 4,000 yalijengwa, uwiano wa walimu na wanafunzi uliboreshwa na usafi uliboreshwa mashuleni. Miaka mitano baadaye, nchi bado inasubiri kuona matokeo ya uwekezaji huo katika uwezo wa watoto kimasomo. Matokeo yaliyotoka hivi karibuni ya Mtihani wa Elimu ya Sekondari 2011 yanaonesha kupanda kidogo kwa ubora wa ukilinganishwa na miaka iliyopita. Tangu 2008 hadi 2010 asilimia ya wanafunzi wanaopata alama za daraja la kwanza imekua inapungua.
Meneja Utafiti wa Uwezo Uganda, Grace Maiso, imeliambia Daily Monitor kuwa uwiano wa walimu na wanafunzi bado si mzuri na walimu wanalipwa kidogo sana, hivyo kusababisha ufaulu mdogo wa wanafunzi. Soma zaidi.
Endelea kusoma: elimu
pakua nyaraka
Tafsiri
unaweza pia kupenda...
- Tukiwathamini walimu, lengo la elimu bora litatimia (13 Nov 2018)
- Je, watoto wetu wanajifunza? Tathmini ya sita ya Uwezo Tanzania (10 Apr 2017)
- JiElimishe | Uhusiano kati ya matokeo ya kujifunza na utapiamlo (22 Dec 2016)
- Hali Halisi (29 Nov 2016)
- Hali Halisi: Maoni ya wananchi juu ya elimu bila malipo ya ada. (24 Nov 2016)
- Je, watoto wetu wanajifunza? (31 Aug 2016)
- Ufunguo wa maisha? (16 Jul 2016)