Twaweza.org

Changia mawazo kwenye andiko la mkakati wetu

Mkakati wa Twaweza unaboreshwa. Unaonesha hali halisi ya sasa, mtazamo wetu kuhusu namna ya kuleta mabadiliko, program zetu na namna tunavyotarajia kujifunza. Unaweza kuusoma hapa(Kiingereza).

Tunahitaji kujua mawazo yako kuhusiana na mkakati wetu. Nini kinachokuvutia? Nini ambacho hakina manufaa na, je uboreshweje? Tuambie. Tuma maoni yako kwa: ideas@twaweza.org

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri