Twaweza.org

Daladala-muda wabadilishwa

Hii ni kuwafahamisha watazamaji wa Tanzania kwamba muda wa kipindi cha Daladala kinachorushwa na TBC 1 umebadilishwa. Kipindi hiki sasa kinarushwa hewani kila siku kupitia kituo hichohicho kuanzia saa 12:00 mpaka saa 12:30 jioni. Marudio ya wiki nzima yataonyeshwa siku ya Jumapili saa 9:00 alasiri. Mabadiliko haya yamefanyika ili kuwapa fursa Watanzania wengi zaidi kutazama wananchi wenzao wakitoa maoni na dukuduku zao kuhusu masuala yanayohusu maisha yao ya kila siku.

Endelea kusoma: Daladala TV

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri