Twaweza.org

Daladala TV yazinduliwa

Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) imezindua rasmi kipindi maalum cha mjadala maarufu kama ‘Daladala’ kinachowapatia jukwaa la watu wa tabaka la chini kutoa maoni na kujadili mambo mbalimbali yanayogusa maisha yao ya kila siku. Kipindi hiki kitarushwa kupitia TBC1 na TBC 2 kuanzia 12:00 na 12:30 jioni, kwa sababu ya michuanao ya kombe la dunia inayoendelea lakini baada ya kumalizika, kipindi kitaanza kurushwa saa 9:30 mpaka saa 10:00. Kwa taarifa kamili bonyeza 'tovuti' hapa chini.

Endelea kusoma: Daladala TV

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri