Twaweza.org

Je, sera inafanyiwa kazi? Simulizi toka vijiji 9

Mtiririko wa mwasilisho huu ulitolewa kwenye Mjadala wa Asubuhi wa Policy Forum Desemba 2009. Unajumuisha uzoefu wa ziara yetu ya  vijijini, na hutoa simulizi rahisi kuhusu matatizo tata ya kimaendeleo, kwa kuwaonyesha uso kwa uso watazamaji uhalisia wa hali ilivyo katika vijiji vya ndani kabisa ya Tanzania.

Endelea kusoma:

Authors: Rakesh Rajani

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri