Twaweza.org

Je, wanafanya kazi kwa ajili yetu?

Toleo hili la Uwazi-Twaweza linaainisha kwa kina mchango wa wabunge katika mijadala mbalimbali katika bunge la  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Takwimu hizi zimechambuliwa kisayansi. Kusoma chapisho hili zima pakua hapa.

Endelea kusoma: Twaweza Uwazi Wabunge Tanzania

Authors: Uwazi

Organizations: Twaweza

pakua nyaraka

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri