Twaweza.org

Kalenda mpya ya 2011

Twawezakwa kushirikiana na Uwezo Tanzania imetoa  kalenda mpya ya mwaka 2011, yenye ujembe unaolenga kuhusu kujifunza. Kalenda hii imebeba vifaa kwa ajili ya kupima uwezowatoto katika kusoma na kuchochea wananchi kuchukua hatua. Zaidi ya nakala 250,000 zinambazwa nchini kote Tanzania. Nakala chacehe zinapatikana katika ofisi yetu ya Dar es Salaam. Pia unaweza kupata nakala  hii kwa kupakua hapa.

Endelea kusoma: Kalenda 2011

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri