Twaweza.org

Kipeperushi-Je Watoto wetu wanajifunza?

Baada ya kutolewa kwa ripoti yake ya Tanzania, Uwezo, kwa kushirikiana na Twaweza, inalenga kuchochea fikra za watanzania wote kuhusiana na uwezo kusoma na kuandika na kuhesabu.

Kipeperushi hiki kidogo kimelenga kutoa changamoto kwa watu kufikiria uzito wa maana ya  watoto wao kutoweza kusoma kwa kiwango kilichopaswa, na kwa hiyo kufikiria juu ya ubora wa elimu. Je,ungependa kuona mtihani huu ambao unaibua maswali juu ya kujifunza? Unaweza kujaribu mtihani huu wewe mwenyewe, watoto au jamaa? Bonyeza hapa, na tunakuhimiza uanzishe majadiliano na wengine juu ya kujifunza na juu ya ubora katika shule zetu.

Endelea kusoma: kujifunza

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri