Twaweza.org

Maelezo mafupi kutoka Twaweza

Twaweza imeona taarifa za uongo kwenye gazeti mojawapo la Agosti 13, 2018. Mkurugenzi Mtendaji wa Twaweza sio mwanachama na hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini Tanzania.

Twaweza ni taasisi huru isiyofungamana na chama chochote cha siasa. Tunaamini katika uhuru na haki za msingi ikiwemo uhuru wa kujumuika na uhuru wa kutoa maoni. Hizi ni haki za msingi za binadamu ambazo zimeainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mitazamo ya kisiasa au uanachama wa kisiasa wa mfanyakazi yeyote wa Twaweza haushawishi maudhui ya kazi zetu na tafiti tunazochapisha.

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri