Maji & Usafi wa Mazingira

< iliyopita 1 ifuatayo >
4 makala
Sort by: Maoni |

Hawashikiki? Mitazamo na maoni ya Watanzania juu ya rushwa

Benki ya taarifa 21 Nov 2017 hot | Maji & Usafi wa Mazingira

Sekta pekee ambayo rushwa iliripotiwa kubaki vilevile ni sekta ya ajira. Asilimia 34 ya Wananchi waliripoti kuombwa rushwa mwaka 2014 huku asilimia 36 wakiombwa rushwa mwaka 2017.

Tanzania: Safi na Salama?

Benki ya taarifa 21 Mar 2017 | Maji & Usafi wa Mazingira

Upatikanaji wa maji Tanzania hasa katika maeneo ya vijijini bado ni changamoto.

Nusu nusu?

Benki ya taarifa 26 Nov 2015 | Maji & Usafi wa Mazingira

Asilimia 36 ya Watanzania wanapata huduma ya maji ya bomba. Hata hivyo, wengine wengi hutegemea maji ya visima (asilimia 35) au maji ya kwenye madimbwi (asilimia 18), ambayo kwa ujumla siyo safi na salama.

Fedha zinamiminika, maji kiduchu

Benki ya taarifa 31 Mar 2014 | Maji & Usafi wa Mazingira

Bajeti kwa ajili ya kuboresha huduma ya sekta ya maji imeongezeka karibu mara tano kati ya mwaka 1999/2000 na mwaka 2011/2012, lakini hakujawa na ongezeko la tarakimu wala ubora wa upatikanaji wa huduma ya maji safi katika kipindi hicho.

< iliyopita 1 ifuatayo >
4 makala
Sort by: Maoni |