Twaweza.org

Matokeo ya mtihani wa kumaliza shule ya msingi Kenya yathibitisha matokeo ya Uwezo

Gazeti la Star la Kenya limeonyesha kuwa viongozi na wakazi wa Mkoa wa Pwani wanatakiwa kukabili changamoto za elimu. Mkoa huu ni wa mwisho katika matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi Kenya kwa 2011. Matokeo haya yanathibitisha utafiti wa Uwezo- Kenya 2011 juu ya tathmini ya Ujifunzaji. Mwandishi  wa maoni magazetini anashauri kwamba viongozi waanze kushughulikia utafiti uliofanywa na Uwezo Kenya kama njia moja wapo ya kuboresha elimu katika wilaya sita za Mkoa wa Pwani. Soma makala hapa: sehemu ya kwanza na sehemu ya pili.            

 

Endelea kusoma: Elimu Tanzania

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri