Twaweza.org

Mtazamo wa Twaweza kuhusu mabadiliko wajadiliwa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

Marion Bowman, mkurugenzi wa one-world-media, anaandika kuwa uwazi ndio mustakabali wa tasnia ya maendeleo akinukuu sera ya Twaweza kama alivyoiwasilishwa Rakesh Rajani kwenye sherehe ya miaka 50 ya Taasisi ya Misaada ya Kimataifa ya Uingereza. Madeleine Bunting wa gazeti la Guardian la Uingereza anaunga mkono hoja hiyo akiandika kwenye blogu yake-na kumnukuu pia Rakesh- kuwa inapaswa raia wawezeshwe kufuatiliwa wao wenyewe ufanisi wa misaada. Makala hizi zimeandikwa kwa Kiingereza.

Endelea kusoma: Citizen Agency

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri