Twaweza.org

Muundo

Twaweza inafanya kazi katika nchi za Afrika Mashariki chini ya mwavuli wa kisheria wa Hivos. Hivos ni asasi ya kimaendeleo yenye umri wa miaka 40 iliyosajiliwa Uholanzi na iliyosajiliwa pia nchini Kenya, Tanzania na Uganda, ikiwa na ofisi zake katika majiji ya Nairobi na Dar es Salaam. Hivos ndiyo inayoteua Bodi ya Wakurugenzi wa Twaweza.   Ni kwa Bodi hii ya Wakurugenzi Kiongozi wa Twaweza huripoti kiutendaji.

Unaweza kuona muundo wa Twaweza hapa

Twaweza pia inayo Kamati ya Uendeshaji ambayo jukumu lake ni la kiushauri ikitia mkazo katika malengo ya mkakati wa kiprogramu, tathmini, kujifunza na mawasiliano.

Endelea kusoma: muundo wa Taasisi

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri