Twaweza.org

Sauti za Wananchi Uzinduzi | Kuelekea 2015

Twaweza inakualika katika uzinduzi wa ripoti ya Sauti za Wananchi: Tanzania kuelekea 2015 | Wananchi watoa maoni yao na matakwa yao juu ya uongozi wa kisaisa nchini

Wakati uchaguzi wa 2015 ukiwa unakaribia, wananchi waliulizwa ni nini hasa wangependa kuona katika vyama vya kisiasa na uongozi wake. Pia walitoa maoni kuhusu yale yanayowaathiri zaidi.

  • Muda: 11:00am – 1:00pm (Saa tano asubuhi hadi saaa saba mchana)
  • Tarehe: Jumatano Novemba 12 2014
  • Mahali: Makumbusho, (imetazamana na IFM)

Muendesha mada: Rakesh Rajani, Mkuu, Twaweza

Mtafiti: Elvis Mushi, Mtafiti, Twaweza

Wageni Waalikwa:
Professor Benson Bana, Idara ya Sayansi ya Siasa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu,  CCM
Magdalena Sakaya (MP), Naibu Katibu Mkuu, (Tanzania Bara), CUF
Dr Wilbrod Slaa, Katibu Mkuu, Chadema

Karibuni wote.

 

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri