Tanzania ifikapo mwaka 2025

Benki ya taarifa 4 Dec 2014 | Mada Moto Moto

Zaidi ya nusu ya wananchi (54%) wanafikiri kuwa maisha yao yatakuwa bora zaidi ifikapo mwaka 2025. Huu ndio mtazamo wa wananchi wakio katika makundi yote- vijana kwa wazee, wanaume kwa wanawake, na wakazi wa vijijini na mijini.

Endelea kusoma: Sauti za Wananchi

pakua nyaraka

Tafsiri

2140 Maoni | Iliyowasilishwa na Risha Chande

unaweza pia kupenda...