Walezi wa uwajibikaji

Benki ya taarifa 24 Feb 2015 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Wananchi saba kati ya kumi (69%) wanasema rushwa zilizoripotiwa kwenye ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ni upotevu wa fedha zao (za umma).

Endelea kusoma: Sauti za Wananchi

pakua nyaraka

Tafsiri

2262 Maoni | Iliyowasilishwa na Risha Chande

unaweza pia kupenda...