Je, vituo vya afya vipo kwa ajili ya kuwahudumia watu?

Benki ya taarifa 5 May 2014 | Afya

Ni mtu 1 tu kati ya watu 20 (6%) mwenye umri zaidi ya miaka 60 na ni mtoto 1 kati ya 5 (18%) mwenye umri chini ya miaka mitano ambao hupata huduma na matibabu bure katika vituo vya afya. Sera ya Nchi nasema kuwa huduma kwa wagonjwa wa nje kutoka makundi haya mawili ni bure, lakini wananchi wanasema kuwa wanatozwa pesa. Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye jina la Je, vituo vya afya vipo kwa ajili ya kuwahudumia watu? Wananchi na watumishi wa afya wazungumzia huduma za afya.

Endelea kusoma: afya

pakua nyaraka

Tafsiri

2473 Maoni | Iliyowasilishwa na Risha Chande

unaweza pia kupenda...