Twaweza.org

Shule za Sekondari Tanzania: Wanafunzi wengi, fedha kidogo

Baada ya kuongeza kasi katika uandikishaji watoto shule za msingi, Serikali ya Tanzania kwa sasa imeanza kutekeleza mpango kabambe wa kupanua elimu ya sekondari. Hata hivyo, upanuzi huu umeibua matatizo yake wenyewe hasa katika rasilimali na kuna maswali mengi kuhusu jinsi gani sera hii itafanya kazi kiuhalisia. Je, fedha zinapelekwa bila vikwazo? Je, shule zinapata fedha kwa wakati? Kiasi kinachotolewa ni cha kutosha? Je, ni za kutabirika? Je, kuna uwajibikaji kwa kushindwa kutekeleza sera? Kuna uhusiano gani kati ya utolewaji  fedha na ubora wa elimu pamoja na ufaulu? Ripoti nzima inaweza kupakuliwa chini kwa lugha ya Kiingereza na Kiswahili.

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri