Simu za mkononi na Teknolojia

< iliyopita 1 ifuatayo >
2 makala
Sort by: Maoni |

Kodi ya SIM

Benki ya taarifa 14 Sep 2013 | Simu za mkononi na Teknolojia

Muhtasari huu unatoa matokeo mapya kuhusiana na mdahalo wa Kodi ya SIM yanatokana na awamu ya tano ya utafiti wa Sauti za Wananchi, ambao ni utafiti wa kwanza wa kitaifa barani Afrika unaokusanya takwimu kwa njia ya simu za mkononi.

Uzinduzi - Sauti za Wananchi

Benki ya taarifa 13 Feb 2013 | Simu za mkononi na Teknolojia

Hadi sasa, aina pekee ya taarifa ambazo zimekuwa zikipatikana ili kupata manga'amuzi kuhusu hali halisi kitaifa ni zile za kiutawala (administrative data) au zinazotokana na tafiti (surveys). Mara nyingi, taarifa za kiutawala huwa na matatizo mengi hasa kuhusu ubora, na zile zinazotokana na tafiti hugharimu fedha nyingi na kuchukua muda mrefu. Sauti za Wananchi inatoa njia mpya ya kushughulikia changamoto hizi. Wananchi kwenye sampuli wakilishi kitaifa watakuwa wakipigiwa simu kila mwezi kupitia simu za mkononi, nao watatoa maoni yao na kueleza uhalisia wa mahali walipo.

< iliyopita 1 ifuatayo >
2 makala
Sort by: Maoni |