Twaweza.org

Simu za Mkononi Zinabadili Kazi za Maendeleo Barani Afrika

Mwandishi wa Uingereza, Madeleine Bunting akimnukuu Kiongozi wa Twaweza anaandika, “simu za mkononi zitakua athari kubwa kwenye maendeleo ya Afrika miaka mitano ijayo.” Anaandika kwenye blogu ya Poverty Matters Blog. Anaripoti kuwa kwa kuwa simu ya mkononi inaweza kubakia ndiyo kiunganishi pekee cha intanet kwa waafrika wengi, taasisi nyingi, ikiwamo Twaweza, sasa zinafanya majaribio ya kufahamu nguvu ya simu ya mkononi katika kuboresha utawala, na huduma za afya na elimu. Soma zaidi kweny poverty matters.

Endelea kusoma: afya

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri