Tanzania: Elimu bora au bora elimu?

Benki ya taarifa 16 May 2018 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Muhtasari huu unawasilisha maoni ya wananchi kwenye na masuala yanayohusiana na sera ya elimu. Utafiti huu umebaini kwamba ni wazazi wachache sana huzingatia ada nafuu (6%) na umbali wa shule (18%) wakati wa kuchagua shule za sekondari kwa ajili ya watoto wao. Badala yake wazazi wengi huzingatia zaidi viwango vya juu vya ufaulu wa shule husika (asilimia 72)

Endelea kusoma: elimu bure Sauti za Wananchi Twaweza Tanzania

pakua nyaraka

513 Maoni | Iliyowasilishwa na Jane Shussa

unaweza pia kupenda...