Tanzania: Hawashikiki?

Benki ya taarifa 21 Nov 2017 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Muhtasari huu umebeba takwimu zinazohusu mitazamo na uzoefu wa wananchi kuhusu rushwa na maoni yao juu ya namna ya kushughulikia vizuri tatizo hilo. Mara ngapi wanakutana na vitendo vya rushwa serikalini ama kwenye taasisi nyingine? Je, wanafahamu kwa kiwango gani kuhusu kesi za tuhuma za rushwa zilizotawala vichwa vya habari miaka ya hivi karibuni?

Endelea kusoma: rushwa

pakua nyaraka

Tafsiri

1812 Maoni | Iliyowasilishwa na Jane Shussa (kupitia Risha Chande)

unaweza pia kupenda...