Tanzania: Zege imelala?

Benki ya taarifa 18 Oct 2017 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Maoni ya Watanzania kuhusu kukwama kwa mchakato wa marekebisho ya katiba. Wananchi wamegawanyika kwenye baadhi ya hatua za uwajibikaji zilizopendekezwa ikiwemo kuzuia viongozi na watumishi wa umma kuwa na akaunti nje ya nchi (asilimia 52 wanaunga mkono), kuwepo kwa ukomo wa ubunge (asilimia 52 wanaunga mkono) na kuweka kanuni za uwazi na uwajibikaji kuwa sehemu ya tunu za taifa (asilimia 48 wanaunga mkono).

Endelea kusoma: katiba

pakua nyaraka

Tafsiri

2023 Maoni | Iliyowasilishwa na Jane Shussa (kupitia Risha Chande)

unaweza pia kupenda...