Twaweza.org

Vijitabu vitano kuhusu vijana shujaa

Twaweza na Tamasha wamechapisha mfululizo wa vijitabu vitano vikionyesha juhudi za vijana wakichukua hatua na kujiletea mabadiliko katika maisha yao.

Maudhui ya vijitabu yameangazia:

Kila kijitabu kinaonyesha jinsi matatizo ya kijamii yanavyoawaathiri vijana. Hata hivyo, badala ya kubakia kunung’unika, vijana wetu kama chachu ya mabadiliko wanaamua kuchua hatua ili kutatua matatizo hayo.
Vijitabu hivi vinasambazwa katika shule za sekondari nchi nzima ili kuwahamasisha vijana wajione kuwa wao wenyewe ndiyo waleta mabadiliko.

Endelea kusoma: afya elimu maji mwananchi tamasha Tanzania vijana

Authors: Richard Mabala Winston Churchill

Editors: Justice Rutenge

featured

Organizations: tamasha

32

Popular booklet

Year: 2013

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri