Twaweza.org

Je, kuna usawa Afrika Mashariki? Au la?

Kuna usawa Africa Mashariki? Au la?

Ben Taylor wa Twaweza, ametengeneza video kwa ajili ya blogu yake, (mtega.com), kuhusu utajiri, umaskini na usawa ndani ya Kenya, Tanzania na Uganda. Ujumbe wake ni mzito:

Utajiri wa 1% ya watu wa Afrika Mashariki (waliotajirika zaidi) uko sawa na utajiri wa asilimia 91% ya watu (wenye umaskini zaidi) 

Mabilionea 6 tu wana utajiri ulio sawa na nusu ya watu wa Afrika Mashariki (watu milioni 66)

Angalia video:

Endelea kusoma: inequality

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri