Tanzania: Ushiriki, maandamano na siasa

Benki ya taarifa 5 Jul 2018 | Habari, Utawala Bora na Kuchukua hatua

Wanapotathmini viashiria mbalimbali vya demokrasia, wananchi wengi wanasema uhuru umepungua katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Wananchi wanasema uhuru umepungua kwa vyama vya upinzani kufanya mikutano na kutoa maoni yao (64%), vyombo vya habari kukosoa au kuripoti maovu ya serikali (62%), na makundi yasiyofungamana na upande wowote kupaza sauti zao na kufanya mikutano (58%). Nusu ya wananchi pia wanaona hawana uhuru wa kuonesha mitazamo yao ya kisiasa (54%). 

Endelea kusoma: participation

pakua nyaraka

Tafsiri

1269 Maoni | Iliyowasilishwa na Jane Shussa

unaweza pia kupenda...