Twaweza.org

Utafiti: Hatima ya elimu yetu hatarini

HALI ya elimu ya msingi nchini imedorora wanaohitimu darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika, ingawa taarifa za Serikali zinabainisha ongezeko la uandikishaji wa wanaostahili kusoma, Raia Mwema imebaini hayo kupitia utafiti mahususi uliofanywa na Taasisi ya Uwezo. Soma zaidi kwa taarifa kamili.

Endelea kusoma: Elimu Tanzania

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri