Twaweza.org

Uwezo Tanzania yazindua ripoti yake

Uwezo Tanzania imezindua utafiti wake iliyoufanya kutathimini ‘Uwezo wa watoto kusoma na kuhesabu Tanzania 2010’ tarehe 21 Septemba, 2010. Ripoti hii iliyopewa jina  ’Je, watoto wetu wanajifunza?’ iliwasilishwa katika katika hafla fupi iliyofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempnski jijini Dar es salaam. Ili kusoma ripoti kamili bonyeza hapa.

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri