Uwezo
Soma machapisho yaliyotolewa na Uwezo na kusambazwa kama nakala za kawaida na nakala za mtandaoni.
Sort by: Maoni |
Je, watoto wetu wanajifunza? Tathmini ya sita ya Uwezo Tanzania
10 Apr 2017
hot
| Uwezo
Miongoni mwa watoto wenye umri wa miaka 9 hadi 13, wengi wao hawawezi kufanya majaribio ya kiwango cha darasa la 2. Pia kuna tofauti kubwa sana kiwilaya. Iringa Mjini, wilaya iliyofanya vizuri, asilimia 74 waliofaulu, kwa upande wa wilaya ya Sikonge, ni asilimia 15 pekee waliofaulu.
- Je, watoto wetu wanajifunza? Tathmini ya sita ya Uwezo Tanzania | Ripoti |
4.37 MB
- Mambo 10 muhimu kuhusu wlimu nchini Tanzania | Muhtasari |
5.25 MB
- Takwimu mpya za Uwezo zinaonesha mwenendo mzuri katika somo la Kiswahili | Taarifa kwa Vyombo vya Habari |
648.78 KB
JiElimishe | Uhusiano kati ya matokeo ya kujifunza na utapiamlo
22 Dec 2016
hot
| Uwezo
Takwimu mpya zilizotolewa na Uwezo (iliyopo Twaweza) zinaonesha uhusiano kati ya matokeo ya watoto ya kujifunza na utapiamlo.
- Matokeo ya kujifunza na utapiamlo | Muhtasari |
1.66 MB
- Uhusiano ni mkubwa kati ya matokeo ya kujifunza na utapiamlo | Taarifa kwa Vyombo vya Habari |
552.68 KB
- Learning outcomes and malnutrition appear to be linked | Taarifa kwa Vyombo vya Habari |
477.06 KB
Je, watoto wetu wanajifunza?
31 Aug 2016
hot
| Uwezo
Baadhi ya watoto wa darasa la 7 hawawezi kufanya majaribio ya darasa la 2.
- Je, watoto wetu wanajifunza? | Ripoti |
26.7 MB
- Je, watoto wetu wanajifunza? | Muhtasari |
6.86 MB
- Are our children learning | Muhtasari |
11.86 MB
Je, watoto wetu wanajifunza?
29 Jul 2015
hot
| Uwezo
Licha ya matarijio kuwa watoto wote wa darasa la 3 wangeweza kusoma Kiswahili na Kiingereza, pamoja na kufanya hesabu rahisi za darasa la pili, ripoti mpya ya utafiti inaonesha kuwa ni wanafunzi wachache mno wenye uwezo huo.
- Matokeo ya kujifunza kitaifa bado ni duni. Watoto 3 tu kati ya 10 wa darasa la 3 ndio uwezo wa kufaulu mtihani wa darasa la 2 | Press Release | 168.11 KB
- Nationally, learning outcomes are still low, 3 out of 10 in Standard 3 can do Standard 2 work | Press Release | 401.8 KB
- Annual Learning Assessment | Report | 3.26 MB
Uwezo Tanzania 2011: Watoto wetu bado hawajifunzi
15 Sep 2011
hot
| Uwezo
Mwaka uliopita, Uwezo ilifanya utafiti nchi nzima kupata picha halisi ya namna watoto wetu wanavyojifunza katika ngazi ya elimu ya msingi. Zaidi ya watoto 40,000 kutoka kaya 20,000 na wilaya 38 za Tanzania Bara walishiriki kwenye zoezi hilo. Huu ulikuwa ni utafiti mkubwa na wa aina yake nchini. Mwaka mmoja baadae... Nini kimebadilika? Je watoto wetu wanajifunza zaidi?
Je Watoto Wetu Wanajifunza? Kuhesabu na Kusoma Katika Afrika Mashariki
28 Jul 2011
hot
| Uwezo
Uwezo Yatoa Ripoti ya Afrika Mashariki
15 Jul 2011
hot
|
Uwezo

Sort by: Maoni |