Twaweza.org

Wahitimu darasa la 7 hawajui kusoma

UTAFITI wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Uwezo, umebaini kuwa kati ya wanafunzi 10 wanaomaliza darasa la saba, wanafunzi watatu hawawezi kufanya hesabu za darasa la pili. Katika matokeo ya utafiti huo yaliyotangazwa Dar es Salaam jana, taasisi hiyo pia ilibaini kuwa, nusu ya wanafunzi wanaomaliza elimu hiyo ya msingi sawa na asilimia 49.1, hawawezi kusoma hadithi kwa Kiingereza. Habari Leo lina taarifa kamili.

Endelea kusoma: Elimu Tanzania

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri