Twaweza.org

Wanafunzi wengi hawajui kusoma, kuandika-Utafiti

SIKU moja baada ya Tanzania kupewa tuzo ya kimataifa kwa kutekeleza vizuri malengo ya elimu pamoja na mafanikio hayo utafiti uliofanywa na Taasisi ya Uwezo Tanzania umeibaini nusu ya wanafunzi wanaomaliza darasa la saba hawajui kusoma na kuandika katika masomo ya Kingereza, Kiswahili na ujuzi wa Hesabu.
Hatua hiyo imeelezwa na utafiti huo kuwa inakwamisha safari ya kufikia 'Elimu kwa Wote'  na moja ya malengo ya millenia. Soma zaidi kwa taarifa hii ya kusisimua kama inavyoripotiwa na gazeti la Majira

Endelea kusoma: kusoma

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri