Twaweza.org

Wananchi wote ni wasimamizi wa Uchaguzi

Waangalizi rasmi wanajukumu la kutazama zoezi zima na kuona ni kwa kiasi gani uchaguzi umefanyika kwa uhuru na haki. Lakini waangalizi hawawezi kuona kila kitu kama mpiga kura. Kwa kutumia tovuti ya Uchaguzi, wananchi wa kawaida wanaweza kutazama zoezi zima la uchaguzi na kutoa taarifa zote za ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi kama vile vitisho, hotuba za chuki, ununuzi wa kura, upendeleo kutoka kwa karani wa kusimamia kura na taarifa batili za upigaji kura. Wote tunaweza kuwa waangalizi wa uchaguzi! Soma zaidi.

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri